Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Six packs yataka moyo sana mpaka kuzipata especially ukiwa unafanya mazoezi kwenye kagym kako ka maskani....
Njia ya haraka ya kupata hizi kitu ni kupiga zoezi la V...
Zoez la v ndo lipi ilo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Imekaa vizuri sana hiyo
 
Mi bia nimeacha nyama choma nimeacha nazilia kwenye mboga tyu gym naenda Mara nne kwa week lakini sioni dalili ya kupungua
 
Mi bia nimeacha nyama choma nimeacha nazilia kwenye mboga tyu gym naenda Mara nne kwa week lakini sioni dalili ya kupungua
Watu wengi huwa wanaona kuingia gym ni suluhisho la kupungua, kwangu naamini kupungua ni kuanzia mazoezi yasiyohusisha kunyanyua uzito mfano cardio zote, kukimbia, kuruka kamba, kubox n.k.

Pia kutokula nyama choma na kwenda kula kwenye mboga sidhani kama ndiyo viambata vyake vinakua vimebadilika, vitakua ni vile vile. Hivyo icheki diet yako hata idadi za unavyokula kwa siku icheki kama inaendana na malengo yako.
 
Mkuu mleta mada kaleta mfano hapo Ila sasa Inatakiwa baada ya kuuweka mwili wako kwenye shape ya V... Miguu ikunje toka kwenye 180° to 90° then mikono yako iweke kifuani. Ukiwa kwenye hiyo position anza kupelekea miguu mbele na nyuma bila kushusha huku ukimaintain V position.
Kwa kuanza piga hilo zoezi huku ukihesabu moja mpaka thelathini taratibu.Piga reps 4 tu then leta mrejesho.
Zoez la v ndo lipi ilo[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Shukran boss ila mi natumia sana kujivuta(nashika kwenye mlango navuta miguu juu usawa wa mabega na kushusha chini hapa mkuu reps 15 si mchezo) na roller sasa hivi nimekuwa expert kweli kweli kila round moja napiga reps zisizopungua 50 kwa roller na matokeo ni mazuri sana ila kwa kiasi kikubwa naamini yamechangiwa na kuwa na discipline na chakula.
 
Shukran boss ila mi natumia sana kujivuta(nashika kwenye mlango navuta miguu juu usawa wa mabega na kushusha chini hapa mkuu reps 15 si mchezo)...
Nimeuanza huo mchezo juzi, ila nadhani nipo tofauti kidogo na wewe kwakua mimi mikono nashikilia kwenye mtambaa panya kisha miguu naikunja kiasi cha kuugusa mtambaa panya (nafanya reps 8 tu).

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] halafu hata sijafuatilia kujua faida yake nilimuona tu mtu anafanya kwenye video fulani nikacopy.
 
[emoji817]
 
Mkuu hilo ndo kiboko ya six packs ni hatari hili zoezi kunasiku nilipiiga hadi wazungu walitoka [emoji1] [emoji1] [emoji1] aseh ni hatari sana
 
Mkuu hilo ndo kiboko ya six packs ni hatari hili zoezi kunasiku nilipiiga hadi wazungu walitoka [emoji1] [emoji1] [emoji1] aseh ni hatari sana
 
At least mngeweka na picha zenu kutumotivate....maana usikute mtu anatupa formula anazotumia halafu ye mwenyewe mpaka leo ana mtambi wa kutosha tu
Yap,hata zilizoficha sura kulinda utambulisho wenu,ila tuone tumbo limekata etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…