Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

umetisha mdau,,,
ila naomba unijuze, mgongo unanyoosha na kuukata kwa zoezi gani? na mabega unajengaje mkuu?
 
nyumbani mkuu
Piga push ups huku ukiwa umetanua mikono yaani iwe zaidi ya ukiwa unapiga push ups za kawaida hii ni kwa ajili ya mgongo na mabega.

Unaweza ukabadilisha kwa kukaa mikao mbalimbali. Unaweza ukaweka miguu juu ya kitu au ukaweka magoti chini sakafuni, kuiona na kuielewa hii mikao bonyeza username ya Castr nenda kwenye posts utakuta uzi unasema 'Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia gym'
 
Kwa sisi ambao tuna mashavu makubwa lakin hatuna miili mikubwa ni mazoez gani yanatufaa mkuu?
 
Sijawahi kukutana na mazoezi ya kupunguza mashavu, ila enzi za utoto tuliambiwa ni kula chimvi nyingi sasa sijui ni kweli au vipi.
 
Mkuu, chumvi nyingi hapana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Piga push ups huku ukiwa umetanua mikono yaani iwe zaidi ya ukiwa unapiga push ups za kawaida hii ni kwa ajili ya mgongo na mabega.

Unaweza ukabadilisha kwa kukaa mikao mbalimbali. Unaweza ukaweka miguu juu ya kitu au ukaweka magoti chini sakafuni, kuiona na kuielewa hii mikao bonyeza username ya Castr nenda kwenye posts utakuta uzi unasema 'Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia gym'
mia mia
 
Passion for perfection wana workout nzuri ambazo unafanyia ndani kwako tu lakini matokeo yake ni makubwa sana ukiwa mwaminifu kuzifuatilia
Ikiwa hutojali tunaomba ushee na sisi mkuu...
 
Back
Top Bottom