Sugarsukari
JF-Expert Member
- Mar 17, 2015
- 729
- 806
Na zoezi lako ni lile ulitupa day one?hongera,weekend ijayo nanunua kitairi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na zoezi lako ni lile ulitupa day one?hongera,weekend ijayo nanunua kitairi
Piga push ups huku ukiwa umetanua mikono yaani iwe zaidi ya ukiwa unapiga push ups za kawaida hii ni kwa ajili ya mgongo na mabega.nyumbani mkuu
Mkuu, chumvi nyingi hapana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijawahi kukutana na mazoezi ya kupunguza mashavu, ila enzi za utoto tuliambiwa ni kula chimvi nyingi sasa sijui ni kweli au vipi.
mia miaPiga push ups huku ukiwa umetanua mikono yaani iwe zaidi ya ukiwa unapiga push ups za kawaida hii ni kwa ajili ya mgongo na mabega.
Unaweza ukabadilisha kwa kukaa mikao mbalimbali. Unaweza ukaweka miguu juu ya kitu au ukaweka magoti chini sakafuni, kuiona na kuielewa hii mikao bonyeza username ya Castr nenda kwenye posts utakuta uzi unasema 'Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia gym'