Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

kupungua kazi rahisi sana bila hata gym...wewe kaa siku 30 bila kula kunywa maji tu.
 
dia mazoezi yanataka moyo. Kuna shoga yangu nilinjua kisa shape yake yan hips utazani hakuzaliwa tako lilijichonga yaani unaweza kuzani alichongwa nikamuuliza uluzaliwa hivi akanambia anafanya mazozi nawili tuu.

Ya kuongeza hips na kukata tumbo yaan ana katumbo flat kuwazidi hata wazungi. Chura sio kubwa ila ilijichonga sijui ni kwambieje hips anavaa 42 tumbo halipo kabisa ila ni mwembamba yaani nyama zato zilitoka chini zikahamia kwenye hips

tatizo ana kamjuu kama kijiko anavaa nguo ndefu tu akipita lazima kila mwanaume ageuke ana kishape mpaka anajiogopa.

tatizo nililoona kwake tumbo lake ni gumu, tako lake na hips ni vigumu kama jiwe ila anavutia sana.

Swala lako kuhusu kuumia tumbo. Anti yangu ni dr tena wa akina mama. Nilimaliza chuo niliongezeka kidogo nikaanza zoezi anti aliniambia nifanye mazozi yote sio ya kupunguza tumbo kama hujazaa sio vizuri hata kidogo alinambia mazoezi ya tumbo nifanye nikitoka kwenye uzazi. Otherwize haya mazoezi tuwaachie wasanii.
 
Kumbe eeh...sasa mamaa vitambi tunapunguzaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe eeh...sasa mamaa vitambi tunapunguzaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
mm sina kitambi kivilee ila kitumbo kipo kidogo so kuwa makini na nguo unazovaa usivae nguo zinazobana timbo. Kunywa maji ya uvuguvugu uliweza kamulia ndimu na tangawizi kuna dada anafanya hii na tumbo limeisha. Mm tangawizi inanishida ikiwa kali kwa sababu ya vidonda. Otherwise ukishindwa vyote komaana maji.
 
Hayo maji nakunywa wakati gani na ujazo wake unatakiwa use vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
luckline kama unaweza saa kumi na moja asubuhi kabla hujala kitu chochote
 
Nipe athari za kupunguza tumbo kabla ya kuzaa niwaambie wadogo wangu!
Halafu kwanini hiyo best yako tako na hips vimekua vigumu kama jiwe?
 
Nipe athari za kupunguza tumbo kabla ya kuzaa niwaambie wadogo wangu!
Halafu kwanini hiyo best yako tako na hips vimekua vigumu kama jiwe?
mm sio Dr ila niliambiwa kuwa ile unafanya mazoezi unakunja gumbo sio vizuri unaweza sababusha tumbo kuoata athari

kuhusu shoga ni mazoezi nyama za tako zinakomaa ila ameshapuka vizuri sana
 
mm sio Dr ila niliambiwa kuwa ile unafanya mazoezi unakunja gumbo sio vizuri unaweza sababusha tumbo kuoata athari

kuhusu shoga ni mazoezi nyama za tako zinakomaa ila ameshapuka vizuri sana
Hii ya kukunja tumbo naeza kuamini kujifanya nataka 'flat tummy' kote kuliniisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…