Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Nimeanza mazoezi upya baada ya kupumzika miezi 6... kwa sasa nimeongezeka kg 6.... naamini baada ya mwezi nakata haka kakitambi kangu...
Principle ni moja tu
Mazoezi plus kupunguza kula.
 
I like this
 
Mimi nimefanikiwa kupunguza kilo 14 kwa miezi 9
 
Pamoja mkuu.
Mkuu hiyo ya kwanza ya kitairi wengine wanasema inaondoa au kupunguza nguvu za kiume ama kushindwa kabisa kuerect kwa wanaume ni kweli au ni maneno tu ya watu...?????[emoji134]‍♂️
 
Huwa ninajifungua kwa op, mtoto alivyofika miaka 2 nikaanza mazoezi...nikashangaa tumbo linaniuma sana ikabidi niende hospital..dr akaniambia acha kabisaaa
Yah kama unaop sio sawa mazoezi ya kukata tumbo unaweza kufanya ya kuruka kamba na kuruka paleti yanapunguza uzito na kukaza nyama za tumbo bila kuzishinikiza
 
Mkuu hiyo ya kwanza ya kitairi wengine wanasema inaondoa au kupunguza nguvu za kiume ama kushindwa kabisa kuerect kwa wanaume ni kweli au ni maneno tu ya watu...?????[emoji134]‍♂️
Hapana kama una maanisha roller ile ni nzuri sana
 
Sasa mkuu kama sina hela ya gym niendelee kubaki na kitambi changu? Hilo zoezi niliangalia youtube niliona wanafanya wanawake. Nishauri basi zoezi la kufanya
TEMBEA HARAKAHARAKA NUSU SAA KILA SIKU ASUBUHI AU JIONI BAADA YA WIKI MBILI TU UTAANZA KUONA MATOKEO YA KUONDOKA KWA KITAMBI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…