Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Watu wengi hawataki kushughulisha mwili eti wanataka waambiwe wale nini ili kuwa na mwili mdogo
 
Kaza kaza,dawa ya moto ni moto
 
Hii sehemu sijaelewa asee doh
 
pole medio lakini ngoja mimi nikueleze kidogo ni hivi unakaa chini kama ni chumbani kwako au uwanjani unanyoosha miguu yako wakati huo ukiwa umeibana halafu shika kiuno chako inyanyue hiyo miguu kwa kwenda juu kama ni mara ya kwanza inyanyue juu na irudishe chini fanya hilo zoezi mara nyingi yaani juu,chini,juu chini sasa ukisha zoea ukipeleka miguu juu ni marufuku iguse chini unairudisha hivyohivyo ilivyo pale mwanzo nimekueleza urudishe chini kwa kuwa wewe bado ni mchanga wa mazoezi lakini inavyotakiwa usiweke miguu tena chini
 
Nimekupata vyema mkuu ila kama huna stamina nzuri unaweza tafuta kijiwambaza ukajiweka huku unanyanyua mkuu hii iko acceptable mkuu?
 
Nimekupata vyema mkuu ila kama huna stamina nzuri unaweza tafuta kijiwambaza ukajiweka huku unanyanyua mkuu hii iko acceptable mkuu?
sorry medio kwa kuchelewa kujibu usitafute kiwambaza kama ni mwanzo utaumia kidogo maana hapo mpaka misuli iweze kuzoea ndio utakwenda vizuri yaani utasikia raha sana jikaze tu utaweza pia naomba nikuongezee zoezi dogo fanya maandalizi ya kupasha mwili joto kama kuna uwanja zunguka raundi angalau 5 ukimaliza push up 2 jinyooshe halafu anza hili zoezi lako
 
Mazoezi hayo mengi ni mazuri sana, unakuwa flat in a month ukiwa serious!

Ila zoezi la kuendesha kitairi lina shida moja :linasababisha maumivu makubwa ya kiuno na mgongo!

Sababu ni nini, au nilikosea wapi!?
 
Nami nasubiri jibu hapa maana niliishia njiani kwa maumivu
 
Naomba mkao na execution ya tairi lako.
 
Mkuu napiga magoti na miguu nalaza ila ninaposukuma kitaili huwa sinyanyui miguu yangu juu inakuwa imelala kama kawaida
Kama hauna maumivu ya mgongo yale ambayo baadhi ya watu hua wanakua nayo tu hivyo unavyokaa ni miongoni mwa namna mtu anaweza kukaa, hivyo haukosei.

Angalia idadi ya seti na reps unazoenda, angalia na ukiwa unanyooka unafika mpaka wapi, na mgongo kama unakua umeuminya kwa ndani au unakua umenyooka pia.
 
Naendelea kumuomba Muumba anitie nguvu namie niweze kufanya mazoezi.... Nia ninayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…