Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya zoezi ni kazi kweli kweliUnakua umelala chini magoti yameinuka, unaunyanyua mwili nusu, yaani sehemu ya kiuno inakua hauiinui.
Kaza kaza,dawa ya moto ni motoDaah kuna zoezi niliangalia youtube linafanana kidogo na hilo la pili ila lenyewe unanyanyua magoti unaleta tumboni. Siku ya kwanza nimefanya siku ya pili sasa maumivu chini ya kitovu utasema kizazi kinachomoka. Bado najifikiria niendelee au niache. Ngoja nisubscribe hapa kwanza
Niliacha nimeanza upya ila safari hii nimeanza taratibu sijaumiaKaza kaza,dawa ya moto ni moto
Hii ni kiboko ya tumbo kwa muda mfupi tu ila maumivu yake utaacha katikati ya safariUkitaka six packs za haraka piga hicho kitairi
Na akuna mazoezi mepesi wala akuna anaesema kazoea mazoezi..... Kila siku ni kama unaanzaa na ukiacha hata Wiki moja ukirudi maumivu yake YA misuli Acha kabisaKufanya zoezi ni kazi kweli kweli
Mkuu mleta mada kaleta mfano hapo Ila sasa Inatakiwa baada ya kuuweka mwili wako kwenye shape ya V... Miguu ikunje toka kwenye 180° to 90° then mikono yako iweke kifuani. Ukiwa kwenye hiyo position anza kupelekea miguu mbele na nyuma bila kushusha huku ukimaintain V position.
Kwa kuanza piga hilo zoezi huku ukihesabu moja mpaka thelathini taratibu.Piga reps 4 tu then leta mrejesho.
medio mbona hata picha zake zimo humu zitafute tu
pole medio lakini ngoja mimi nikueleze kidogo ni hivi unakaa chini kama ni chumbani kwako au uwanjani unanyoosha miguu yako wakati huo ukiwa umeibana halafu shika kiuno chako inyanyue hiyo miguu kwa kwenda juu kama ni mara ya kwanza inyanyue juu na irudishe chini fanya hilo zoezi mara nyingi yaani juu,chini,juu chini sasa ukisha zoea ukipeleka miguu juu ni marufuku iguse chini unairudisha hivyohivyo ilivyo pale mwanzo nimekueleza urudishe chini kwa kuwa wewe bado ni mchanga wa mazoezi lakini inavyotakiwa usiweke miguu tena chini
sorry medio kwa kuchelewa kujibu usitafute kiwambaza kama ni mwanzo utaumia kidogo maana hapo mpaka misuli iweze kuzoea ndio utakwenda vizuri yaani utasikia raha sana jikaze tu utaweza pia naomba nikuongezee zoezi dogo fanya maandalizi ya kupasha mwili joto kama kuna uwanja zunguka raundi angalau 5 ukimaliza push up 2 jinyooshe halafu anza hili zoezi lakoNimekupata vyema mkuu ila kama huna stamina nzuri unaweza tafuta kijiwambaza ukajiweka huku unanyanyua mkuu hii iko acceptable mkuu?
Nami nasubiri jibu hapa maana niliishia njiani kwa maumivuMazoezi hayo mengi ni mazuri sana, unakuwa flat in a month ukiwa serious!
Ila zoezi la kuendesha kitairi lina shida moja :linasababisha maumivu makubwa ya kiuno na mgongo!
Sababu ni nini, au nilikosea wapi!?
Mazoezi hayo mengi ni mazuri sana, unakuwa flat in a month ukiwa serious!
Ila zoezi la kuendesha kitairi lina shida moja :linasababisha maumivu makubwa ya kiuno na mgongo!
Sababu ni nini, au nilikosea wapi!?
Naomba mkao na execution ya tairi lako.Nami nasubiri jibu hapa maana niliishia njiani kwa maumivu
Mkuu napiga magoti na miguu nalaza ila ninaposukuma kitaili huwa sinyanyui miguu yangu juu inakuwa imelala kama kawaidaNaomba mkao na execution ya tairi lako.
Kama hauna maumivu ya mgongo yale ambayo baadhi ya watu hua wanakua nayo tu hivyo unavyokaa ni miongoni mwa namna mtu anaweza kukaa, hivyo haukosei.Mkuu napiga magoti na miguu nalaza ila ninaposukuma kitaili huwa sinyanyui miguu yangu juu inakuwa imelala kama kawaida
Hahhahah Fanya maamuzi, fanya mazoezi usisingizie maombi!Naendelea kumuomba Muumba anitie nguvu namie niweze kufanya mazoezi.... Nia ninayo