Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Na wanawake wanafanya Haya Haya eti Castr
Siyo yote labda kama ana targets zake.

Wanawake wemgi nimeona wakifanya crunches, sit ups ambazo zimepunguzwa ukali wa magoti, leg raise, side leg raise, wakichanganya na aerobics.
 
Siyo yote labda kama ana targets zake.

Wanawake wemgi nimeona wakifanya crunches, sit ups ambazo zimepunguzwa ukali wa magoti, leg raise, side leg raise, wakichanganya na aerobics.
Zinaflatisha matumbo?, Au unatakiwa Kumaintain na Chakula pia?
 
Zinaflatisha matumbo?, Au unatakiwa Kumaintain na Chakula pia?
Maintain chakula ili kuongeza kasi ya unachokilenga.
Usipomaintain itakubidi ufanye mazoezi mara mbili ya ambavyo ungefanya kama ungemaintain chakula
 
Ngojeni kesho nkitoka Mazoezini nioneshe six pack zangu humu

Ova
 
Mimi ni mwembamba TUMBO flat sasa mataka kitambi kidogo dogo
Ushauri mkuu
 
Mimi ni mwembamba TUMBO flat sasa mataka kitambi kidogo dogo
Ushauri mkuu
Ongeza kiasi cha chakula na kula mara kwa mara, angalau mara nne mpaka sita kwa siku.
Junk food ndo mwake, soda na vinywaji vyote vya kusindikwa usiache.
 
Napiga kitaili laps kadhaa....
Na huwa najivuta kwenye mabomba pia

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…