Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

..kuna mikunjo nkijikunja najamba sanaaa...adi naona aibuu..nifanyeje?
 
Natamani kweli kupungua tumbo bila kupungua mwili mzima sijui nifanyaje.
 
Nijue mazoezi ambayo yatapunguza tumbo tu.Nikifanya diet tumbo linapungua na mwili wote mpaka najichukia.
Usifanye diet, fanya mazoezi ila maintain vyakula vya kujenga mwili.
 
Hv nikila cabbage tu na maziwa mtindi wiki nzima si lazima ntapungua!? Nkiruka na kamba tu!?
 
Hv nikila cabbage tu na maziwa mtindi wiki nzima si lazima ntapungua!? Nkiruka na kamba tu!?
Sina jibu la moja kwa moja ila ni hivi.

Kama hiyo diet haihusishi fat wala protini kwa kiwango kikubwa basi lengo lako litafanikiwa.
 
Kila siku ruka asubuhi kwa muda wa nusu saa na jioni nusu saa nyingine! Kwa muda wa miezi miwili mabadiliko utayaona !!
 
Je mazoez ya dizain hii yanakuwa applied kwa boys tuu au hata kwa girls? [emoji848]
 
Je mazoez ya dizain hii yanakuwa applied kwa boys tuu au hata kwa girls? [emoji848]
Kutegemea na lengo wanaweza kufanya yote. Ila kama lengo siyo kama la bodybuilder anaweza kuendesha tairi, crunches za aina zote, sit ups na oblique sit ups ambazo zitapunguzwa reps na seti.
Hilo pia hutegemea lengo la mhusika.
 
Sawa Mkuu nimeelewa, japo mi sina kitambi ila ntamshauri best angu afanye hayo mazoezi.
 
Kwanini eti mtu ukitaka kuanza Gym wanasema lazima Ukonde kwanza wenyewe mnasema kukata mafuta
 
Mkuu Castr nimekua nafuatilia sana nyuzi zako kuhusu mazoezi,,mara nyingi huwa naanza bada ya wiki 2&3 naacha
Saivi nimedhamiria nimeanza kwa;
pushups asubuh na jioni pamoja na squats(siku ya 9 sasa)na changes naziona
Nina mpango wa kuanza kukimbia pamoja na kutengeneza local roller kwaajili ya tumbo pamoja na dumbell za tricep na biceps.

Kama una lakunishauri ningeshukuru sana.

NB:nitaleta mrejesho kwa picha before and after ikipita miezi miwili
 
Back
Top Bottom