Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

kush moker, Nashauri chakula, maji na kupumzika vipe uzito wake.

Nashauri ufanye mazoezi kwa mtindo wa kujichallenge mwenyewe.

Mafanikio mema
 
Nimesubscribe leo day 2 nimeanza zoezi.
 
MAZOEZ YANAHITAJI MOYO WA CHUMA NA SALA...MIMI NILINENE MPAKA NIKITEMBEA KIFUA KINATIKISIKA NYAMA,,NIKAPIGA DIET PLAN YANGU MOJA KWA WIKI MBILI NIKAWA KAMA MODEL SASA NDO NATAKA NIINGIE GIM SEMA NATAKA MWALIM NIMWELEZE NAVOTAKA KUA MAANA MAFUTA YOTE NIMETOA
Mkuu hebu weka hapa hiyo diet plan yako tuione labda itatusaidia! Watu tuna matumbo huko mikono kama chelewa! Nahitahidi kupiga mbunye lakini tumbo haliishi!
 
Mkuu hebu weka hapa hiyo diet plan yako tuione labda itatusaidia! Watu tuna matumbo huko mikono kama chelewa! Nahitahidi kupiga mbunye lakini tumbo haliishi!
Heee kwa hiyo uliambiwa ukipiga mbunye ndio tumbo linaisha?
 
Heee kwa hiyo uliambiwa ukipiga mbunye ndio tumbo linaisha?
Teh teh teh teheeee! Si Khantwe unajua tena za vijiweni!! Eti ukijikunja namna hii tumbo lazima likate mafuta!! Teheheeeee!!
 
dawa ya kupunguza uzito kwa haraka ni Kula ndizi mbivu pekee na maji ya uvuguvugu kwa muda wa siku 10.
Angalizo usile chakula kingine wewe ukipata njaa Kula ndizi mpk siku10 zitimie
 
MAZOEZI YA KUKATA TUMBO NA KUPUNGUZA UZITO HARAKA |Six Pack |Nyama uzembe |Kitambi|Abs workouts home gusa link hiyo [emoji1432]
 
Back
Top Bottom