Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Pole..Haya Mazoezi kwa mtu anayeanza ni mateso..So ukiamua kuanza usijionee huruma..Kubali tu kujitesa..Btw naweza kuja kukupa kampan
 
Mazoezi ya tumbo yanahitaji uvumilivu na pia kula vyakula sahii.... Matokeo ya mazoezi huja baada ya miezi miwili hadi mitatu wengine mpaka sita....
Hapo itategemea eneo lako la tumbo lina fat kwa kiwango gani, mfano aliye na fat kama ya Peter Msechu itafika huko kwenye mwezi mpaka miezi miwili.
Lakini kama Mr Blue haiwezi kufika huko.
 

Hapo ndio zoezi linaingia. No pain no gain.
 
Na hayo mazoezi ya tairi mbona maumivu yake ni ya muendelezo nimejaribu kufanya muda mrefu naona kila siku yanazidi kuwa makali yanakujaga kuisha kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…