Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Mazoezi ni mazuri sana,ila cha kukumbuka ni kuwa UKISHAJIINGIZA KWENYE MAZOEZI HUTAKIWI KUACHA,NA UKIACHA KAMA NI KITAMBI KITAKUWA X 2 AU X 3 YA HIVO ULIVO SASA AU KAMA NI MWILI UTAKUWA ZAIDI YA HAPO.
 
Jamani,naomba nsaidie kujua diet plan yako..me nna wiki 3 now naruka kamba na nmeacha kabisa kula wanga..ila nataka kujua ntapunguzaje kilo nyingi
 
Usiniambie?? Mimi nilikua mnene kilo 75 now nina 65 baada ya diet na mazoezi hasa ya kuruka kamba....unataka niambia nikiacha kuruka kamba ntanenepa?? Mbona ntajuta sasa
 
Sawa mkuu, ila hii ya kitairi sio kwamba ntakikomaza zaidi kitambi kiwe tu kigumu badala ya kukipunguza?
Katika Nota Bene nimeonesha kua kama una fat nyingi fanya na kujog pia. Kuhusu kitairi kukukomaza hapana usitie shaka kwa hapo.
 
Mazoezi ni mazuri sana,ila cha kukumbuka ni kuwa UKISHAJIINGIZA KWENYE MAZOEZI HUTAKIWI KUACHA,NA UKIACHA KAMA NI KITAMBI KITAKUWA X 2 AU X 3 YA HIVO ULIVO SASA AU KAMA NI MWILI UTAKUWA ZAIDI YA HAPO.
Labda kama ulikua una-abuse (siyo kutumia) supplements kipindi unafanya mazoezi mfano Mega Mass, Muscle up, na steroids lakini kama ulikua unafanya naturally wewe haupo kwenye hilo kundi la kuwa kituko ukiacha mazoezi.
 
Usiniambie?? Mimi nilikua mnene kilo 75 now nina 65 baada ya diet na mazoezi hasa ya kuruka kamba....unataka niambia nikiacha kuruka kamba ntanenepa?? Mbona ntajuta sasa
Hapana mkuu haiwezi kua hivyo.
 
Usiniambie?? Mimi nilikua mnene kilo 75 now nina 65 baada ya diet na mazoezi hasa ya kuruka kamba....unataka niambia nikiacha kuruka kamba ntanenepa?? Mbona ntajuta sasa
Ukianza mazoezi iwe ndio kama kilevi chako,sio eti baada ya kupungua uache UTAKUWA BONGE AFADHARI YA MWANZO,NA WATU WENGI HAWALIONGEI HILI. WAANGALIE WANAMICHEZO WOTE WALIOACHA AU KUPUNGUZA MAZOEZI WANAVYOKUWA.
 
Uliruka kamba kwa mda gani?! Na mm naruka kamba[emoji5]
 
Aliielezea hapa...
Jamani,naomba nsaidie kujua diet plan yako..me nna wiki 3 now naruka kamba na nmeacha kabisa kula wanga..ila nataka kujua ntapunguzaje kilo nyingi
 
Ukianza mazoezi iwe ndio kama kilevi chako,sio eti baada ya kupungua uache UTAKUWA BONGE AFADHARI YA MWANZO,NA WATU WENGI HAWALIONGEI HILI. WAANGALIE WANAMICHEZO WOTE WALIOACHA AU KUPUNGUZA MAZOEZI WANAVYOKUWA.
Hebu nitajie bodybuilders ambao sasa hivi ni wanene.

Mwaka juzi nilikutana na mr Dar wa miaka ya 2000 jamaa bado yuko poa.
Mwaka jana nilikutana na mr Mbeya wa 2013 na bado yuko poa.
 
Crunches kamwe haziwezi kukupa sixpack, kinachokupa six pack ni low body fat percentage na kuipata hiyo low body fat percentage the only way ni kuipanga diet yako uanze kupoteza bodyfat.

Crunches kuwa zinakupa six pack ni myth, idea ni kwamba ukifanya mazoezi ya tumbo utapungua tumboni, mwili wa binadamu haufanyi kazi hivyo, utakapopungua inategemea na genetics zako kama vile unapoongezeka kwa mfano watu wengine wakinenepa wananenepa tumbo kwanza wengine hips kwanza etc.

Kwa wanaume wengi wanaanza kukusanya bodyfat tumboni wakinenepa na ndo sehemu ya mwisho kupoteza wanapokonda.
"ABS ARE MADE IN THE KITCHEN" Ni 90% diet.
 
Kuruka kamba na Roller vimenisaidia sana kupunguza mwili ila huwa napata uvivu sana nikifanya hayo mazoezi nikiwa hme hadi najikuta naacha Roller na Kamba home naenda Gym kwa ajili ya hivyo hivyo vifaa ila kwa sababu Gym napata kampani nafanya najikuta nafanya mazoezi mda mrefu...
 
Ukianza mazoezi iwe ndio kama kilevi chako,sio eti baada ya kupungua uache UTAKUWA BONGE AFADHARI YA MWANZO,NA WATU WENGI HAWALIONGEI HILI. WAANGALIE WANAMICHEZO WOTE WALIOACHA AU KUPUNGUZA MAZOEZI WANAVYOKUWA.
Basi naacha cha kunenepa tena sitaki kama kitambi sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…