Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

[emoji3] [emoji3] pole xn mwili kaza mwili utazea
 
Crunches kamwe haziwezi kukupa sixpack, kinachokupa six pack ni low body fat percentage na kuipata hiyo low body fat percentage the only way ni kuipanga diet yako uanze kupoteza bodyfat...
Mkuu nadhani nimeaddress baadhi ya ishu ulizozisema hapo.
Sijajua kwanini umeliongelea zoezi moja tu.
Lakini nimeiandika Hii routine yote ifuatwe na atakayekua amelenga six packs. Hivyo haufanyi moja kati ya haya, hapana, unafanya yote.
 
Kuna mtu anataka partner wa kukimbia naye wikiendi hii?
 
Hivi kuharisha kunaingiaje hapo baada ya mazoezi?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mimi ila pendekeza unaweza kupata jinsia pendwa
Mi naanza from scratch ujue, sasa nikianza kukimbia na wewe si ntaacha ulimi nje? We nitafutie partner KE nianze nae mdogo mdogo
 
Mdada ambaye anataka kukimbia wikiendi hii anakaribishwa na SingleFather, mjumuike pamoja.
 
Mi naanza from scratch ujue, sasa nikianza kukimbia na wewe si ntaacha ulimi nje? We nitafutie partner KE nianze nae mdogo mdogo
Wa huku mtaa nilipo wengi wamejiunga na vikundi vya jogging, nimekuwekea bandiko mkuu
 
Mdada ambaye anataka kukimbia wikiendi hii anakaribishwa na SingleFather, mjumuike pamoja.
Haha ahsante mkuu... Route yetu itakua kuanzia maeneo ya DDC mlimani kwenda survey barabara ya chuo(UDSM) kupitia pale utawala mpaka chuo cha maji na kurudi na service road mpaka DDC ama eneo lolote dar atakalo-propose parter
 
Mitaa yang iyo mkuu[emoji32] [emoji32]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…