Unataka Umoja wa kitaifa? Unataka Maridhiano?; Kamwe usiibe Uchaguzi

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Kitendo cha watu kuchagua kiongozi wao ni jambo kubwa sana (Sacred). Ukiiba uchaguzi umepanda mbegu ya Uasi na mgawanyo ndani ya Taifa.

Siku si nyingi Watanzania mitaani watakuwa na Silaha, Watanganyika watachoma Bendera za Tanzania na kupandisha Bendera ya Tanganyika, wengine wataenda mbali watawavua nguo viongozi na kuwanyia vitendo vya aibu huku wakishangilia.

Venezuela walikuwa wanaaiba sana Uchaguzi, wamefunga sana wapinzani wao

CCM mna nafasi ndogo sana ya kujinasua kwenye hili
 
Na hilo litawatokea tu
 
Asante mkuu. Mtu anateka na kuua wananchi wasio na makosa, anaiba uchaguzi halafu raia wakipata hasira na kuandamana kwa kuchoma vitu eti wanauawa na kulaumiwa!
 
Nchi yetu kamwe haiji kufanikiwa kwa laana tunazojitakia za kuiba kura
 
Back
Top Bottom