MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Na hilo litawatokea tuKitendo cha watu kuchagua kiongozi wao ni jambo kubwa sana (Sacred). Ukiiba uchaguzi umepanda mbegu ya Uasi na mgawanyo ndani ya Taifa.
Siku si nyingi Watanzania mitaani watakuwa na Silaha, Watanganyika watachoma Bendera za Tanzania na kupandisha Bendera ya Tanganyika, wengine wataenda mbali watawavua nguo viongozi na kuwanyia vitendo vya aibu huku wakishangilia.
Venezuela walikuwa wanaaiba sana Uchaguzi, wamefunga sana wapinzani wao
CCM mna nafasi ndogo sana ya kujinasua kwenye hili
Asante mkuu. Mtu anateka na kuua wananchi wasio na makosa, anaiba uchaguzi halafu raia wakipata hasira na kuandamana kwa kuchoma vitu eti wanauawa na kulaumiwa!Kitendo cha watu kuchagua kiongozi wao ni jambo kubwa sana (Sacred). Ukiiba uchaguzi umepanda mbegu ya Uasi na mgawanyo ndani ya Taifa.