Unatakiwa kufanya nini baada ya kumfikisha polisi mtu aliyekufanyia vurugu na kukujeruhi?

Unatakiwa kufanya nini baada ya kumfikisha polisi mtu aliyekufanyia vurugu na kukujeruhi?

Bfinest 24

New Member
Joined
May 11, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Mtu akikufanyia fujo na kukujeruhi kwa kutumia silaha (Chupa za soda zilizovunjwa) unatakiwa kufanya nini baada ya ya kumfikisha kituo cha polisi?

Je, hii ni aina gani ya case?
 
Je, hii ni aina gani ya case?
Ni wazi kesi hii ni Jinai/Criminal na ndomaana ipo polisi. Ni kinyume na Vifungu namba 89(1)(b) na 228 vya kanuni ya adhabu (Penal code).👇​
IMG-20240513-WA0012.jpg
IMG_20240513_232152.jpg
 
Back
Top Bottom