B Bfinest 24 New Member Joined May 11, 2024 Posts 2 Reaction score 0 May 13, 2024 #1 Mtu akikufanyia fujo na kukujeruhi kwa kutumia silaha (Chupa za soda zilizovunjwa) unatakiwa kufanya nini baada ya ya kumfikisha kituo cha polisi? Je, hii ni aina gani ya case?
Mtu akikufanyia fujo na kukujeruhi kwa kutumia silaha (Chupa za soda zilizovunjwa) unatakiwa kufanya nini baada ya ya kumfikisha kituo cha polisi? Je, hii ni aina gani ya case?
Abdul Said Naumanga JF-Expert Member Joined Jan 28, 2024 Posts 673 Reaction score 1,318 May 14, 2024 #2 Bfinest 24 said: Je, hii ni aina gani ya case? Click to expand... Ni wazi kesi hii ni Jinai/Criminal na ndomaana ipo polisi. Ni kinyume na Vifungu namba 89(1)(b) na 228 vya kanuni ya adhabu (Penal code).👇
Bfinest 24 said: Je, hii ni aina gani ya case? Click to expand... Ni wazi kesi hii ni Jinai/Criminal na ndomaana ipo polisi. Ni kinyume na Vifungu namba 89(1)(b) na 228 vya kanuni ya adhabu (Penal code).👇
B Bfinest 24 New Member Joined May 11, 2024 Posts 2 Reaction score 0 May 14, 2024 Thread starter #3 Nashukuru sana mkuu