Unatakiwa kumiliki gari na pesa za kutosha uache kusumbua watu

Unatakiwa kumiliki gari na pesa za kutosha uache kusumbua watu

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
• Mtoto wa kiume unasuka bado unapanda daladala we ni hanifha.

• Unapaka brich afu unapanda daladala we ni kichaa unayejitambua kidogo.

• We una kitambi /mnene bonge nyanya afu bado unapanda daladala unasumbua vimbaumbau we kanunue gari yako binafsi ili ujinafasi.

• Kijana ukihisi huwezi kusimama pindi anapoingia kikongwe kwenye usafiri wa daladala basi nunua gari binafsi.

• Na nyie wadada mnaojichumbua ili muwe wazungu koma kupanda daladala kuna sisi ambao hatutumii nyama ..hizo harufu za mishikaki ni matatizo kwetu.

Ni hayo tu kwa leo
 
Back
Top Bottom