Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
yap, kuna mtu hapo kasema ye akiondoka anafuatiliwa
kufatiliwa kupo lakini sio kwa kushikana mashati, mwanaume wa hivyo kwangu namuona kama hajiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yap, kuna mtu hapo kasema ye akiondoka anafuatiliwa
kufatiliwa kupo lakini sio kwa kushikana mashati, mwanaume wa hivyo kwangu namuona kama hajiamini.
Kwa misingi ya dini ya kiislam. Mke (sizungumzii mwanamke kwani sio kila mwanamke ni mke bali kila mke ni mwanamke) inampasa kuomba ruhusa kwa kila jambo analotaka kufanya kwa mume wake. Ila kama mume wake amempa ruhusa kwa mambo ya kila siku ya ndani ya nyumba kama kupika, kufua, kufagia na kama atampa ruhusa ya kwenda kuchota maji.
Kwa mke anayeishi katika misingi ya kiislamu haruhusiwi kuaga bali anatakiwa kuomba ruhusa.
Nasriyah Saleh Al-Nahdi