Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabla hujauliza ulitakiwa uwe umeshanunua matirio haraka sana sababu vishawishi vimeongezeka!
Pisi kali zipo hadi usukumani sasa
Depending na eneo husika, kwa uhitaji huo jiandae na 13.5 mil Tsh na kuendelea kulingana na finishing utakayotaka na utakayomudu.Eneo/Kiwanja ninacho tayari Mkuu.
Ila ramani sina vile vile fundi ntatafuta wakati nikikamilisha hatua ya kujua garama zake
Unaweza kuoanisha hapa huo mchanganuo wa 13.mil Tsh Mkuu?Depending na eneo husika, kwa uhitaji huo jiandae na 13.5 mil Tsh na kuendelea kulingana na finishing utakayotaka na utakayomudu.
Inategemea hupo Mkoa gani ila kwa haraka haraka uwe na million 10
Mi nakumbuka nilianza ujenzi nikiwa na buku yaani shilingi elfu 1 ,lakini mpaka sasa nimefanya ujenzi wa 12 million na sikuwa na haraka ya kuhamia
Na hizo pisi ni nyeupe peeeKabla hujauliza ulitakiwa uwe umeshanunua matirio haraka sana sababu vishawishi vimeongezeka!
Pisi kali zipo hadi usukumani sasa
Daah mkuu kwahiyo japhet na juma ndo mafundi ujenzi maarufu..??Una mahali pa kufanya ujenzi tayari? Eneo.
Una ramani/mchoro?
Unatarajia kutumia wataalam au "fundi Japhet/Juma".?
Mkuu ulianza kujenga kwa elfu 1!Inategemea hupo Mkoa gani ila kwa haraka haraka uwe na million 10
Mi nakumbuka nilianza ujenzi nikiwa na buku yaani shilingi elfu 1 ,lakini mpaka sasa nimefanya ujenzi wa 12 million na sikuwa na haraka ya kuhamia
Motivational speaker....anyway itakuwa ilikuwa mwaka 1960Inategemea hupo Mkoa gani ila kwa haraka haraka uwe na million 10
Mi nakumbuka nilianza ujenzi nikiwa na buku yaani shilingi elfu 1 ,lakini mpaka sasa nimefanya ujenzi wa 12 million na sikuwa na haraka ya kuhamia
[emoji3][emoji3] kuna fundi Rama...fundi Dullah, fundi Jose (mara nyingi huwa fundi mbao)...ni majina tu mkuuDaah mkuu kwahiyo japhet na juma ndo mafundi ujenzi maarufu..??
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kabla hujauliza ulitakiwa uwe umeshanunua matirio haraka sana sababu vishawishi vimeongezeka!
Pisi kali zipo hadi usukumani sasa