abel frank
Senior Member
- Apr 11, 2013
- 157
- 68
UVIMOHabari wakuu.
Naomba kufahamishwa kama nataka kufanya ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili kimoja master kingine cha kawaida, Bafu na choo la public, Jiko, Sebule na dining. Je, niandae shilingi ngapi niweze kuhamia ndani.
Karibuni
Umoja ulio sheheni wataalam mbalimbali wa kada ya ujenzi.
Tunatoa ushauri na kujenga, ukiwa umejiandaa vema tunakukabidhi nyumba ikiwa tayari imeisha.
UVIMO shuguli zetu ni:
1-Kjenga nyumba.
2-Kupiga lipu
3-Kuskim
4-Rangi
5-Bandaring na kufunga bodi
6-Milango ,madirisha na magril
7-Kupaua
8-Kuweka tiles
9-Wayaring za umeme.
10-Chemba za vyoo
11-Kupaua
12-Kuchimba mashimo ya maji na vyoo.
13-KuSHAURI KUHUSU NYUMBA.
Wasiliana nasi kwa
0629361896
0753961896