Unataka viroja gani shem niviweke...?Ya kwako haina viroja
Khaaaah hata sijaelewaKweli Dunia imebadilika mpaka kuwabadilisha walimwengu. Zamani wanawake walikuwa wanajiheshimu sana na ukijumuisha na uoga wao hakika maisha yalikuwa poa sana.
ila hawa wa leo usishangae anakulazimisha umpige kazi hata kama humpendi na hamjawahi kuonana ila mnawasiliana tu kwa njia ya mtandao
[emoji482] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Weekend ndo imeanza hivyo.
Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe.
Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo usiseme kabisa.
Mimi nataman kumiliki PM ya HUMBLE Africani na BAK pamoja na kritika.
Nataka nikaone viroja kwenye PM zao.
MKUU PM NI KITU GANI NIELIMISHE TAFADHALIWeekend ndo imeanza hivyo.
Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe.
Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo usiseme kabisa.
Mimi nataman kumiliki PM ya HUMBLE Africani na BAK pamoja na kritika.
Nataka nikaone viroja kwenye PM zao.
Nishapewa nywila na chamdeko.[emoji482] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Au kama vile nilivyokufanyia? Kama kuna vingine ni PM unifahamishe.Viroja vya PM huvijui