Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

Weekend ndo imeanza hivyo.
Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe.
Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo usiseme kabisa.

Mimi nataman kumiliki PM ya HUMBLE Africani na BAK pamoja na kritika.


Nataka nikaone viroja kwenye PM zao.
nataka ya kwako
 
Utaiweza kweli?maana majuzi,juzi jana afadhali nlikuwa nakesha pm aisee sikuwaza kuwaza kuwa naweza kesha pm ila nafurahi kwa mda nliompatia huyo kiumbe
Hivi kweli unaweza kesha pm
 
Back
Top Bottom