Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerudi...Unatoka kwenye relii eeeh
Unataka uone anavyowafanyia watu counseling?Heaven Sent
MarahaaabaaAhhaha shem shikamoooo
Wanashare password hao
Ahahahaha kuwa mpole.Naomba Nywila yako tafadhali
naomba hiyo fursa nikuonyeshe kama naweza au siwez
Yani iwe kama yako???[emoji3][emoji3] Sasa utaweza kutongoza Madem wanne kwa siku[emoji23][emoji23][emoji56]Yani anakupa uimiliki hata kwa mwezi mmoja tu
Ukumbuje yaumiza matumboNgoja kwanza,
Si uliniambia nimetoka nje ya reli....Ulikuwa unaenda wapiii