Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

Nimejikuta natamani ya Kaka yangu DellaPina ili nione anajibugi watu vipi huko PM sababu katika Makaka zangu wataratibu huyu anashika namba moja.

Kwani kikawaida huwa maneno anayatafuta.
 
Mdogo wangu katika sehemu ambayo situmii jf ni pm hawezi zimia kabisa labda aje kuzimia jukwaani
Siku ukisema umefungua PM lazima watu watiririke kama siafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…