Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Umeona chamdeko alivyomchochezi ee my honeyMmh makubwa haya,naombeni tu muwe wawazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona chamdeko alivyomchochezi ee my honeyMmh makubwa haya,naombeni tu muwe wawazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]siamini amini hapa unajua
Mbebezi mwenyewe yupo huku nitalala na nani sasaHujalala
UmetishaYa Max
Mpenzi hujambo kuna mtu anataka amiliki nywila ya kwako sasa so hatari hii?Ya Max
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mimi nilikuwa member ila nikaasi na kutimuliwa hukonina mpango wa ku hack ya Invisible nione watu walivyokuwa wakiomba kuunganishwa na jukwa la wakubwa
hahahahah naamini nitakutana na requests za wafuatao
fimboyaasali
Evelyn Salt
mahondaw na mumewe
Ambiele Kiviele
Dinazarde
Mshana Jr
@mamijendari woote
baada ya hapo nimiliki ya
King'asti ili nione jinsi akina Rutashubanyuma Asprin Erickb52 na wengineo walivyokua wakijigonga hapo.
nikimaliza hapo nimiliki pm ya Madame B ili nione jinsi mabazaaz walivyokuwa wakijisigu kuwa wanamikurungu ya kumtosheleza huyo madame.
ahsantE
updatea..... ......... ........
nilikua nimeasahau ya GuDume ili nione alivyofanikiwa kuwatia nyavuni wadada ambao mpaka sasa wamelazimika kuja na ID MPYAAAAA
Teh teh..Napata malalamiko Douta..Watu wanakuja kwa lengo,nia na dhumuni la mtongozo unaishia kuwapa counseling..Hahaha daddy hiyo counseling uliiona wapi?
Habari yako broHahahaha mzee!
Mi si nawajua kitambo..Nimekumiss shem..Lina unakuja kuchukua vifuniko vya asali?Umejuajeee aiseeeh kama ulikuwepo yani
Mi hadi nimeota kutu..Siku hizi unawahi kulala?nmekumiss
Hivi ni kweli unauzaa!!??Mi si nawajua kitambo..Nimekumiss shem..Lina unakuja kuchukua vifuniko vya asali?
Yeah..Ila nimemuachia dada yako ndo anasimamiaHivi ni kweli unauzaa!!??
Ahaaa kumbe nitaenda kumtembeleaYeah..Ila nimemuachia dada yako ndo anasimamia