Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

nina mpango wa ku hack ya Invisible nione watu walivyokuwa wakiomba kuunganishwa na jukwa la wakubwa

hahahahah naamini nitakutana na requests za wafuatao
fimboyaasali
Evelyn Salt
mahondaw na mumewe
Ambiele Kiviele
Dinazarde
Mshana Jr
@mamijendari woote
baada ya hapo nimiliki ya
King'asti ili nione jinsi akina Rutashubanyuma Asprin Erickb52 na wengineo walivyokua wakijigonga hapo.

nikimaliza hapo nimiliki pm ya Madame B ili nione jinsi mabazaaz walivyokuwa wakijisigu kuwa wanamikurungu ya kumtosheleza huyo madame.
ahsantE

updatea..... ......... ........

nilikua nimeasahau ya GuDume ili nione alivyofanikiwa kuwatia nyavuni wadada ambao mpaka sasa wamelazimika kuja na ID MPYAAAAA
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mimi nilikuwa member ila nikaasi na kutimuliwa huko
 
Back
Top Bottom