Unatamani kumiliki PM ya member yupi JF?

Uliniboa ujue mm ndo nilikufata nikakusema yani sjui sababu ya wewe kuniboa kiasi kile
Aaah! kumbe ni ww ndio ulinifataa!!
hata na mm sijui ilikuaje nikashangaa tu umekasirika unalia, hahaha kweli ww ni cha mdeko [emoji3][emoji3][emoji3]

Ingekua ss hivi mngenifata usiku na Mshana Jr wako [emoji23][emoji23][emoji23]

ila si yaliisha Demiss fungua basi hyo PM[emoji20]

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hiyo emoj mwishoni imeniboaaa
 
Back
Top Bottom