NyumbaniUpo wapi Leo?
Bora uje unisaidie kazi ile niliyokosea juziNakuja
Leo siendi mjini hadi keshoHahahahha kachukue kuku choma town
SawaNa mm nalala kidogo nitaaamka saa 11
Aaah! kumbe ni ww ndio ulinifataa!!Uliniboa ujue mm ndo nilikufata nikakusema yani sjui sababu ya wewe kuniboa kiasi kile
HapanaChagua unataka pm ya nan
Wee,Duh saint hunipendi wewe
Hiyo emoj mwishoni imeniboaaaAaah! kumbe ni ww ndio ulinifataa!!
hata na mm sijui ilikuaje nikashangaa tu umekasirika unalia, hahaha kweli ww ni cha mdeko [emoji3][emoji3][emoji3]
Ingekua ss hivi mngenifata usiku na Mshana Jr wako [emoji23][emoji23][emoji23]
ila si yaliisha Demiss fungua basi hyo PM[emoji20]
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
kwann Demiss?Hiyo emoj mwishoni imeniboaaa