Ndoo vizur nitaua ndege wawili kwa jiwe mojaWanashare password hao
Yah mana Nikikaa tu bila mtongozo najihisi mpweke sana japo Sio kila mtongozo unafiki KileleniHahahahah kumbe unatongoza mademu wanne kwa siku
Hahahhahahhahaha hapana jamaniMadam nasikia una mpango wa kumiliki pm ya Mshana jr![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatarii sanaaJinsi ulivyomuwakilisha Ushimen kuweka mdomo wazi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiipata nigaie na mieHata mm naitaka hiyooo yawezekana ina viroja siyo mchezo
Nikikupea nywila, kwanza hakikisha unasogea karibia na hospital kwaajili ya huduma ya1Hahahahaha hivi na wewe upo vizur PM ahhaahaah ushimen usiniambie naomba nywila yako
Naomba nikupe nywila mkuu.... tehteehhhMP..?!mdomo wangu umebaki wazii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rafiki hivi wake za watu nao hutafuta viwanja vya kwenda kujirusha weekend kama ulivyotamba kwenye uzi wako hapo juu au ni ushamba wangu tu mie mwanaume wa kijiji?[emoji53][emoji53][emoji53]Uchochezi huo mkewe nipo hapaaaa
Ukumbuje yaumiza matumbo
Huyo subira siku hizi anavuta bangi amu..Subira Yavuta heri
Hahahahaha basi huyu member ni Platinum
nmekumissUnataka uone anavyowafanyia watu counseling?