Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Ah ah ah ah ah alafu jilan bhanaHahahahahah nataka ya kwako nione unavyotongozwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah ah ah ah ah alafu jilan bhanaHahahahahah nataka ya kwako nione unavyotongozwa
Umeniwakilisha [emoji23]Aiseeee
Mmh!!Ambaye anataka kumiliki PM yangu aseme nimpe nywila.
Mimi napenda niimiliki kwa yule ninayempenda(mbebezi wangu)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mdomo wangu unazidi kubaki waziiMtoto mzuri kama wewe, tena mwenye rangi ya pipi...... haupaswi kuogopa PM yangu, mana imejaa samli na asali....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nawasikia tu [emoji2][emoji2]Unamjua mganga unamsikia
Mambo wiiWifiii
Fungua account ya muda halafu utaiacha.Anayo nywila ya pm yanguuu
Hamna kitu hapo. jiandae kumpokea mtu akirud kachafuka vumbi.Subiria sasa majibuuuu
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mdomo wangu unazidi kubaki wazii
nakungoja silali haaaaaaaaaAiseee haya nakuletea pm