Me hata me nataka nikuoneKasie, miss chaga, shunie... Yaan hawa watu endapo ntawaona kbl ya wao kusepa ntafurah sn....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikupe email yake
Hiyo ni YES au NO
Teh teh...Hamna.
a gach u
Unacheka nini mpenzi, nimekumiss jamani. Fanya namna basi.Teh teh...