Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Mimi nasubiri get together ya JF nionane na wote wataokuwepo siku hiyo, maana hapa JF kila mtu ana kitu cha pekee.
 
Ni wengi wakiwemo..... gemmanuel265, Idimi, CleverKING, Polite
 
Wale wotee ninao wafollow..
Kuna vile vichwa vya Jf Intelligence vikiongozwa na Eiyer

Kwa mabinti kuna..
Numbisa
Nitarudi..
 
Back
Top Bottom