Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Nimekumbuka nilivyokuombaga tukutane ukakataa..Missing u too..Umekuwa adimu siku hizi
Wewe ndio nilikuomba ukanikatalia, yaani ungeniambia hata kwa kunitania tu ningekuja fastaaaaaa.

Wewe ndio adimu baba, anaekuficha mwambie namchukia kama magu[emoji57]
 
Wewe ndio nilikuomba ukanikatalia, yaani ungeniambia hata kwa kunitania tu ningekuja fastaaaaaa.

Wewe ndio adimu baba, anaekuficha mwambie namchukia kama magu[emoji57]
Usanii haujakuacha tu??..Haya bana...

Majukumu ndo yananificha mamito..Sivyo unavyofikiria...
 
Usanii haujakuacha tu??..Haya bana...

Majukumu ndo yananificha mamito..Sivyo unavyofikiria...
Sio usanii bwana, ndio ukweli huo.
Fanya kamchakato basi. [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Jamani mi ninao wengi sana Kaka zangu, Swahiba zangu, Wadogo zangu, Mashemeji, Mabest, Madada, Majirani, Ma aunt wote ambao sijabahatika kuonana nao nina inami mnajijua natamani niwaone jamaani.

Nawapenda woote [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…