Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Nimekumbuka nilivyokuombaga tukutane ukakataa..Missing u too..Umekuwa adimu siku hiziUnacheka nini mpenzi, nimekumiss jamani. Fanya namna basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekumbuka nilivyokuombaga tukutane ukakataa..Missing u too..Umekuwa adimu siku hiziUnacheka nini mpenzi, nimekumiss jamani. Fanya namna basi.
Yamkini tuwe pamoja. Thanks a lotCc Infantry soldier, mshana jr, compact, Ghazwat, numbisa, emmyta,
mafisadi hayana rangi
Wewe ndio nilikuomba ukanikatalia, yaani ungeniambia hata kwa kunitania tu ningekuja fastaaaaaa.Nimekumbuka nilivyokuombaga tukutane ukakataa..Missing u too..Umekuwa adimu siku hizi
Mi sitamani kumwona hata mmoja ili tuendelee kuheshimiana kwanza huko kujuana ndo mwanzo wa kudharaulianaRejeeni tu kichwa cha habari kisha mtoe mchango wenu.
Kwa kuanzia tu mimi natamani hata kabla sijafa niwajue au nionane na hawa members watatu tu kwani nawakubali mno.
Asanteni.
Usanii haujakuacha tu??..Haya bana...Wewe ndio nilikuomba ukanikatalia, yaani ungeniambia hata kwa kunitania tu ningekuja fastaaaaaa.
Wewe ndio adimu baba, anaekuficha mwambie namchukia kama magu[emoji57]
Sio usanii bwana, ndio ukweli huo.Usanii haujakuacha tu??..Haya bana...
Majukumu ndo yananificha mamito..Sivyo unavyofikiria...
Ahsante nashukuru. [emoji120] [emoji120]Cc Evelyn, emmyta mshana kapeace doris nk
Tuombe uzima Mkuu. Barikiwa sana.Cc Infantry soldier, mshana jr, compact, Ghazwat, numbisa, emmyta,
mafisadi hayana rangi