hahah kiranga mtaelewana lugha kwelikiranga
Wasiwasi wako tu kuna makapuku kama mimi kila kukicha afadhali ya jana ,natamani nikuone unaonekana mama mmoja wa mjini na mwenye busara zakeSitaki disappointement ninaowafahamu wanatosha mwishowe nitakutana na informer wa lumumba nipelekwe mabwe bure. Sitaki nasema sitaki JF imejaa wanafiki nimegundua kupitia sources mbli mbali wengi humu mashushu
Mungu tu mkuuu..nkimona I will be happy indeedYeah! Embu mwana J.f toa maoni yako,ungepewa nafasi moja ungetamani kumwona nani hapa.....Mimi jamani,Huyu miss natafuta-Namtafuta km jina lake.
You made may day my boy. Mimi ni mama wa vijijini. Nimezaliwa shamba nimekulia shamba ila nilikwenda Boarding school enzi hizo hivyo hatukuwa na interaction na maisha ya mjini naongea 70s shule kibiriti ngoma (lori letula shule) train au bandari home basi hatukujua maisha mijini. Unaanza kazi kijijini hujui chochote nashukuru Nyerere alitufundisha adabu ila hawa watu wake sasa wanatuona kila mtu ambaye ahapendi ccm ni ukawa hawajui tumezaliwa kwenye Tanu tumekulia kwenye tanu mpaka wengine tunataka kuweka gate vijijini.Wasiwasi wako tu kuna makapuku kama mimi kila kukicha afadhali ya jana ,natamani nikuone unaonekana mama mmoja wa mjini na mwenye busara zake
Im glad that i made your day Maam ,Mara nyingi vitu unavyo ongelea humu ni ambavyo hata sijazaliwa ndio maana nakufuatilia kimya kimya ili nizidi kujifunza zaidi ,sikupenda kuja public kwa hili ila leo nimeshindwa wacha niseme tu ukweliYou made may day my boy. Mimi ni mama wa vijijini. Nimezaliwa shamba nimekulia shamba ila nilikwenda Boarding school enzi hizo hivyo hatukuwa na interaction na maisha ya mjini naongea 70s shule kibiriti ngoma (lori letula shule) train au bandari home basi hatukujua maisha mijini. Unaanza kazi kijijini hujui chochote nashukuru Nyerere alitufundisha adabu ila hawa watu wake sasa wanatuona kila mtu ambaye ahapendi ccm ni ukawa hawajui tumezaliwa kwenye Tanu tumekulia kwenye tanu mpaka wengine tunataka kuweka gate vijijini.
Mrembo kama wewe hata ukiniscorpion hamna shidaHaha chief huogopi ntakuscorpion macho[emoji87]