Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Sitaki disappointement ninaowafahamu wanatosha mwishowe nitakutana na informer wa lumumba nipelekwe mabwe bure. Sitaki nasema sitaki JF imejaa wanafiki nimegundua kupitia sources mbli mbali wengi humu mashushu
Wasiwasi wako tu kuna makapuku kama mimi kila kukicha afadhali ya jana ,natamani nikuone unaonekana mama mmoja wa mjini na mwenye busara zake
 
You made may day my boy. Mimi ni mama wa vijijini. Nimezaliwa shamba nimekulia shamba ila nilikwenda Boarding school enzi hizo hivyo hatukuwa na interaction na maisha ya mjini naongea 70s shule kibiriti ngoma (lori letula shule) train au bandari home basi hatukujua maisha mijini. Unaanza kazi kijijini hujui chochote nashukuru Nyerere alitufundisha adabu ila hawa watu wake sasa wanatuona kila mtu ambaye ahapendi ccm ni ukawa hawajui tumezaliwa kwenye Tanu tumekulia kwenye tanu mpaka wengine tunataka kuweka gate vijijini.
 
Im glad that i made your day Maam ,Mara nyingi vitu unavyo ongelea humu ni ambavyo hata sijazaliwa ndio maana nakufuatilia kimya kimya ili nizidi kujifunza zaidi ,sikupenda kuja public kwa hili ila leo nimeshindwa wacha niseme tu ukweli
 
Back
Top Bottom