Ha ha ha ha haHehehehe iishe tu maana tunakosa uhondo wa bibie tunda
mimi natamani nimuone lowassaYeah! Embu mwana J.f toa maoni yako,ungepewa nafasi moja ungetamani kumwona nani hapa.....Mimi jamani,Huyu miss natafuta-Namtafuta km jina lake.
Hahaha nitadai hakimiliki
Kweli uko serious, huu mwaka wa pili sasa.
Kwanza unajua maana ya jina lako kwa kisukuma?I wish ningekutana humu na Id ya Magu na nikamjua
Mwaka wangu ungeisha vizuri kabisa
Na ningeomba kumtembelea na kumuomba nimuulize maswali kichokozi
Jina langu halihusiani na lugha yoyoteKwanza unajua maana ya jina lako kwa kisukuma?
Kaka mtumishi, tuombe tu uzimaIf my sister, mtumish, Heaven Sent anasoma hapa....huyu wakwanza.shem atoto
My brou Kaboom
geniveros Wewe nataka nikuone kwanza kwa mbaliii kama mita 300 hv