Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

mbona mi sioni wanaotamani kuniona?
btw mi natamani kukutana uso kwa uso na Mzee Tupatupa wa lumumba(VUTA-NKUVUTE)
 
I wish ningekutana humu na Id ya Magu na nikamjua
Mwaka wangu ungeisha vizuri kabisa
Na ningeomba kumtembelea na kumuomba nimuulize maswali kichokozi
 
I wish ningekutana humu na Id ya Magu na nikamjua
Mwaka wangu ungeisha vizuri kabisa
Na ningeomba kumtembelea na kumuomba nimuulize maswali kichokozi
Kwanza unajua maana ya jina lako kwa kisukuma?
 
Miss Chaga jamani.. Mchagaaaa wangu!! Nahisi ni bonge moja la rafiki basi tuuuu..
 
Back
Top Bottom