Unatamani Serikali Iweke Sheria gani kwenye Mitandao ya Kijamii?

Unatamani Serikali Iweke Sheria gani kwenye Mitandao ya Kijamii?

Kaunara

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
249
Reaction score
452
Jamii yeyote ile yenye heshima na maendeleo lazima iwe na sheria.

Hata ukiona watoto wa jirani yako wanaheshima na maendeleo jua kuna sheria zinawaongoza katika familia ile na sio maombi ya kanisani wala msikitini.

KInachoendelea katika social media sio kigeni kwa kila mtanzania. Kuna mazuri na mabaya yake.

Hapa naongelea yale mabaya unayoyajua wewe unadhani ni sheria ipi iwekwe kunusuru kizazi kijacho?
 
Back
Top Bottom