Unatambuaje vifaranga kama ni dume au tetea?

Wakuu hasa wafugaji!!

Nataka nianze kufuga kuku majoo wa kienyeji ila nataka Dume tu ndo wanakua haraka
Chukua kifaranga, kibane mdomo alaf kiache kining'inie. Ukiona kina kukuruka, ujue huyo ni jogoo. Ukiona kimetulia tu, ujue huyo ni jike.

Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…