Unatambuaje vifaranga kama ni dume au tetea?

Unatambuaje vifaranga kama ni dume au tetea?

Mie naangaliaga manyoya,atakayewahi kuota manyonya ni jike na wale watakaochelewa kuota ni madume,ama kuwatambua kwa njia nyingine ni pale mkiani jike hutokeza mkia mapema na dume huchelewa mkia wake kuota
 
Kwani umeambiwa hao ni paka? 😅😅 Maana paka dume ndio linabichwa kubwa.
It's true,hata kuku ni the same....nimejifunza Hilo nikiwa mdogo sana bibi alinielekeza,lakini hao kuku hawakuwa broiler ni wale wa kienyeji,,,yaani mi nakuchambuliaa vizuri na sikosei hata mmoja
 
H
Hii sayansi nilifundishwa na katoto kadogo cha darasa la 2 nadhani Chanika.
Duniani ni darasani
20230630_140617.jpg
 
Back
Top Bottom