Unatambuaje vifaranga kama ni dume au tetea?

Mie naangaliaga manyoya,atakayewahi kuota manyonya ni jike na wale watakaochelewa kuota ni madume,ama kuwatambua kwa njia nyingine ni pale mkiani jike hutokeza mkia mapema na dume huchelewa mkia wake kuota
 
Wa kiume ukisema

Jaivaaa

Anaitikia๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Kwani umeambiwa hao ni paka? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Maana paka dume ndio linabichwa kubwa.
It's true,hata kuku ni the same....nimejifunza Hilo nikiwa mdogo sana bibi alinielekeza,lakini hao kuku hawakuwa broiler ni wale wa kienyeji,,,yaani mi nakuchambuliaa vizuri na sikosei hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ