baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Unateka unajipa kibali cha kuua watu mliopishana mtazamo una funga watu Magereza bila sababu hiyo yote ufurahishe nafasi yako huku uki
umiza familia za watu kwa mchozi kuodokewa na wapendwa wao hizo damu za watu na machozi ya watu unaweza kuishi vipi kwa amani?
Unafanya ayo mambo yote kesho uko msikitini au Kanisa my friend duniani tunapita zaid zaid utakufa na Wewe na kuiachia familia yako matatizo kwasababu madaraka yako uliyatumia vibaya watu watashidwa kujitambulisha kwa jina lako kutokana na Mabaya uliyotendea watu.
Madaraka sio ya watu wenye roho nyepesi madaraka yanaitaji roho ngumu hekima na busara ndo maana kua kiongozi lakini unaishia kuteka watu tena wananchi wako kesho unasema amani hiyo amani itatoka wapi?
Wakati umeumiza mioyo ya watu Civil War zilianza baada ya kikundi kidogo kutumia vyombo vya dola kukandamiza watu bila sababu za msingi. Tuombe Mungu viongozi wetu wawe na hekima kiumbe unachoenda kukitoa Uhai ujakiumba Wewe