Halafu kajaza mabango nchi nzima kama kapotea anatafutwa.Unateka unajipa kibali cha kuua watu mliopishana mtazamo una funga watu Magereza bila sababu hiyo yote ufurahishe nafasi yako huku uki
umiza familia za watu kwa mchozi kuodokewa na wapendwa wao hizo damu za watu na machozi ya watu unaweza kuishi vipi kwa amani?
Unafanya ayo mambo yote kesho uko msikitini au Kanisa my friend duniani tunapita zaid zaid utakufa na Wewe na kuiachia familia yako matatizo kwasababu madaraka yako uliyatumia vibaya watu watashidwa kujitambulisha kwa jina lako kutokana na Mabaya uliyotendea watu.
Madaraka sio ya watu wenye roho nyepesi madaraka yanaitaji roho ngumu hekima na busara ndo maana kua kiongozi lakini unaishia kuteka watu tena wananchi wako kesho unasema amani hiyo amani itatoka wapi?
Wakati umeumiza mioyo ya watu Civil War zilianza baada ya kikundi kidogo kutumia vyombo vya dola kukandamiza watu bila sababu za msingi. Tuombe Mungu viongozi wetu wawe na hekima kiumbe unachoenda kukitoa Uhai ujakiumba Wewe
Duh kumekucha
Ukitaka kumfikia mwenye mbwa anza na mbwa kuna mbwa wanatumwa wateke na kutesa na kuua hao ndio wa kuanza naoHalafu kajaza mabango nchi nzima kama kapotea anatafutwa.
Absolutely nosense, Yani muuaji amepambwa Kila Kona ya nchi, tumelaaniwa
Noma aiseeJean Bedel Bokassa
View attachment 3484651
Hissen Habre
View attachment 3484652
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa Zabanga
View attachment 3484656
Hao walikuwa Miungu Watu....Noma aisee
Mifumo yetu ya vetting ni mibovu sana. Samia hakutakiwa kufika huko kwenye nafasi ya umakamu wa Rais.Unateka unajipa kibali cha kuua watu mliopishana mtazamo una funga watu Magereza bila sababu hiyo yote ufurahishe nafasi yako huku uki
umiza familia za watu kwa mchozi kuodokewa na wapendwa wao hizo damu za watu na machozi ya watu unaweza kuishi vipi kwa amani?
Unafanya ayo mambo yote kesho uko msikitini au Kanisa my friend duniani tunapita zaid zaid utakufa na Wewe na kuiachia familia yako matatizo kwasababu madaraka yako uliyatumia vibaya watu watashidwa kujitambulisha kwa jina lako kutokana na Mabaya uliyotendea watu.
Madaraka sio ya watu wenye roho nyepesi madaraka yanaitaji roho ngumu hekima na busara ndo maana kua kiongozi lakini unaishia kuteka watu tena wananchi wako kesho unasema amani hiyo amani itatoka wapi?
Wakati umeumiza mioyo ya watu Civil War zilianza baada ya kikundi kidogo kutumia vyombo vya dola kukandamiza watu bila sababu za msingi. Tuombe Mungu viongozi wetu wawe na hekima kiumbe unachoenda kukitoa Uhai ujakiumba Wewe
Nanga mkono hoja Post in thread 'Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe' Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika WeweUnateka unajipa kibali cha kuua watu mliopishana mtazamo una funga watu Magereza bila sababu hiyo yote ufurahishe nafasi yako huku uki
umiza familia za watu kwa mchozi kuodokewa na wapendwa wao hizo damu za watu na machozi ya watu unaweza kuishi vipi kwa amani?
Unafanya ayo mambo yote kesho uko msikitini au Kanisa my friend duniani tunapita zaid zaid utakufa na Wewe na kuiachia familia yako matatizo kwasababu madaraka yako uliyatumia vibaya watu watashidwa kujitambulisha kwa jina lako kutokana na Mabaya uliyotendea watu.
Madaraka sio ya watu wenye roho nyepesi madaraka yanaitaji roho ngumu hekima na busara ndo maana kua kiongozi lakini unaishia kuteka watu tena wananchi wako kesho unasema amani hiyo amani itatoka wapi?
Wakati umeumiza mioyo ya watu Civil War zilianza baada ya kikundi kidogo kutumia vyombo vya dola kukandamiza watu bila sababu za msingi. Tuombe Mungu viongozi wetu wawe na hekima kiumbe unachoenda kukitoa Uhai ujakiumba Wewe
Imetosha sasa kama vipi wabadilishe katiba itamuke wazi kukosoa au kua na mawazo huru ni kosa kisheria au jinai kabisa tujue katiba imezuia sio mtu mnapishana mawazo tena mnajenga nyumba moja unakimbilia kumteka au kuua utaua wangapi utafunga wangapi bora katiba izuie huru wa kujieleza na ukosoaji tujue tusiendelee kupoteza watu IMETOSHANanga mkono hoja
P
Leo nimekuta vimama vinabishana mshahara wa rais kila mtu anasema la kwake nikapita hivi, Mafwele aache uhuniMimi niwe mkweli tu, ningepata madaraka na hayo mapesa mengi halafu nione mtu anajaribu kunitoa madarakani aisee....ningeua na kutesa watanganyika wengi sana nafikiri mpaka dunia ingeingilia kati niuwawe tu kama Hitler, bora tu sikupata hiyo fursa