Unatetea katiba mbovu ambayo kila mtu anaweza kugundua makosa /mapungufu iliyonayo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Unatetea katiba mbovu ambayo hata kipofu na kiziwi wanaweza kui palpate na kugundua makosa /mapungufu iliyonayo. Best katiba kama za marekeni mnazisfia, mnasahau kuwa ziliundwa/ziliandikwa na watu waliojitoa mhanga kama Lisu.

Mjue likitokea la kutokea muungano ukavunjika, your beloved ones will not be permitted to secure safety in Zanzibar, Dubai (kama watakuwa mmewanunulia majumba huko, maana kila kinachopolwa kinapelekwa huko

Tuwe na uzalendo wa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…