Unatoa haja kubwa ya aina gani ?

uporoto01

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2008
Posts
4,698
Reaction score
1,423
Hivi wangapi baada ya kujisaidia haja kubwa huwa na mazoea ya kuangalia mzigo uliotoka ? Kwa afya yako uwe na mazoea ya kuangalia mavi yaliyotoka ili ujue afya yako ya mfumo wa usagaji/tumbo na kwa ujumla afya yako.

Haja kubwa haitakiwi kuwa ngumu au laini sana.Kwa tumbo linalofanya kazi vizuri na mtu alaye chakula mchanganyiko pamoja na matunda/mboga mboga na pia kunywa maji ya kutosha haja kubwa inatakiwa kutoka herufi S (nzuri sana), au herufi C (kawaida), herufi I (mbaya).

Ukiwa unapata haja kubwa ngumu sana mpaka jasho lakotuka ukisukuma inamaana hunywi maji yakutosha au hauli matunda/mboga mboga-fiber.Uwe pia na mazoea angalau mara moja kwa mwaka unapima choo ili kujuwa kama una minyoo au matatizo yoyote mengine kuhusiana na tumbo.

Maelezo haya nimeyapata kwa doctor Oz wa Oprah show fame.
 
mweeh jamani itabidi nijenge kachemba kadogo, ili niwe nacheki kwa afya yangu.mmmh.
 
Hahaha jamani hili jukwaa lina mambo. Lol.
 
:lol::lol:

kimpumu kopo ngapi umetwanga leo uporoto?
 
Mimi nikiona mavi ya kijani najua nina malaria .. tuko kama wawili kwenye familia yetu na dalili hizo wala hatuulizi maana hatuumwi mara kwa mara
 
Hizi herufi utazionaje kwenye choo cha kukaa!!!!

Mi naona siku nyingine ngoma zinazama na siku nyingine zinaelea

Any scientific reasons ?!!
 
hehehe kamanda tahazari na ule mtandao. hii mada ya kuchambua vinyesi inaweza ikakutempt utake kuwa ekspati zaidi wa vinyesi. hapa greti thinka nimethink beyond greti thinking capacity
 
Hizi herufi utazionaje kwenye choo cha kukaa!!!!

Mi naona siku nyingine ngoma zinazama na siku nyingine zinaelea

Any scientific reasons ?!!
Kwenye choo cha kukaa si unainuka kidogo kabla ya kuflash ?

hehehe kamanda tahazari na ule mtandao. hii mada ya kuchambua vinyesi inaweza ikakutempt utake kuwa ekspati zaidi wa vinyesi. hapa greti thinka nimethink beyond greti thinking capacity
Hahaha! siku moja moja kubadili mtandao muhimu mkuu lol! Nimesoma thread nyingi hapa watu kutopata choo/kupata choo kigumu/kuharisha,baada ya kumsikia huyu daktari nikaona sio vibaya nikawajulisha maelezo yake.
 
Dah... Uporoto naona unaadvocate kwa S and C...

sasa wanaopenda x na y inakuaje?
 
Sisi tunaotumia vyoo vya shimo tutakaguaje mzigo?
mkuu itabidi mzigo uutuwe transit kwa special airport check kabla kufika destination. dah! yaani hii sredi hizi mida za launch ndio imepata mahubiri mengi. kweli wabongo launch tunakula jioni.
 
mkuu itabidi mzigo uutuwe transit kwa special airport check kabla kufika destination. dah! yaani hii sredi hizi mida za launch ndio imepata mahubiri mengi. kweli wabongo launch tunakula jioni.

Hiyo transit itakuwa vipi? usafi je ? na maji yenyewe ya kununua kwene madumu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…