Hivi wangapi baada ya kujisaidia haja kubwa huwa na mazoea ya kuangalia mzigo uliotoka ? Kwa afya yako uwe na mazoea ya kuangalia mavi yaliyotoka ili ujue afya yako ya mfumo wa usagaji/tumbo na kwa ujumla afya yako.
Haja kubwa haitakiwi kuwa ngumu au laini sana.Kwa tumbo linalofanya kazi vizuri na mtu alaye chakula mchanganyiko pamoja na matunda/mboga mboga na pia kunywa maji ya kutosha haja kubwa inatakiwa kutoka herufi S (nzuri sana), au herufi C (kawaida), herufi I (mbaya).
Ukiwa unapata haja kubwa ngumu sana mpaka jasho lakotuka ukisukuma inamaana hunywi maji yakutosha au hauli matunda/mboga mboga-fiber.Uwe pia na mazoea angalau mara moja kwa mwaka unapima choo ili kujuwa kama una minyoo au matatizo yoyote mengine kuhusiana na tumbo.
Maelezo haya nimeyapata kwa doctor Oz wa Oprah show fame.