Unatoa 'Like' halafu baadaye una 'Unlike'

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Mtu unampa 'Like' kwenye bandiko flani halafu baada ya muda unarudi tena una 'Unlike'.

What's up with that? I mean..what's the point?

Unaona ukilipa 'Like' limtu kama Li Nyani Ngabu litafaidi sana au litajidai sana na ndo maana unarudi na ku 'Unlike'?

That is some sucker shit right there.

Kama vipi si uache tu ku Like posts za li Nyani Ngabu.

Up yours.
 
Tulia baba, Unlike zao hazikupunguzii heshima yako

Nah..I'm cool as ice.

It just doesn't compute to me...that...why 'Like' it and then turn around and come 'Unlike' it?

You do that after realizing you goofed up by 'Liking' it?

That means you actually thought about it, right?

Still sucker shit.
 
Unanikumbusha ule ugomvi wa like, jamaa ana like kama 2000, akakuta zipo 1500, akaanzisha Uzi wa lawama, anyway laiti kungekuwa na kitufe cha ugly mkuu huyu jamaa angekupa "ugly"
 
Elewa tu watanzania ni vigeu geu
 
Unanikumbusha ule ugomvi wa like, jamaa ana like kama 2000, akakuta zipo 1500, akaanzisha Uzi wa lawama, anyway laiti kungekuwa na kitufe cha ugly mkuu huyu jamaa angekupa "ugly"

Unatoa 'Like' halafu unajistukia...unasema oops....nimetoa 'Like' kwa Li Nyani Ngabu.

Ngoja nikaiondoe fasta...maana litazidi kujidai....kwanza silipendi kama nini....lishetani likubwa.

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hahahaaaa
Alitegemea na ww umpe....sasa akiona umeuchuna(najua ww bahili wa likes) ndo anarudi kufuta like yake yaani Kuunlike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hamna ujue saa nyingine una mpa mtu like baadaye uki fikiria sana ulicho mpia like hukioni yana kuja maamuzi una tengua utoaji wa like yako .
Kuna mtu nilimpa like alipiga bonge ya point akaja mwingine aka mpinga kwa facts , aah ikabidi nitengue utoaji wa like na nika mpa huyu mwingine. mambo hutokea hayo
 
Unanikumbusha ule ugomvi wa like, jamaa ana like kama 2000, akakuta zipo 1500, akaanzisha Uzi wa lawama, anyway laiti kungekuwa na kitufe cha ugly mkuu huyu jamaa angekupa "ugly"
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115] [emoji115] daah! Jamaa kaingia kucheki like zake kakuta pungufu kaanza kutaanza kutafta nani amechukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…