Unatoka Kazini Muda kama huu Kisha Pap Unamkuta kiumbe huyu anatoka nyumbani kwako endelea

Unatoka Kazini Muda kama huu Kisha Pap Unamkuta kiumbe huyu anatoka nyumbani kwako endelea

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
1790622709863.png

UNATOKA KAZINI MIDA KAMA HII
Unampigia mkeo simu halafu haipokelewi,unaamua tu kuelekea nyumbani
Ile unafika ndani ya Uzio wako,kabla haujaingia ndani unakuta
Mzee mzima SAWAKA Ametuna na ametulia hapo kwa kushiba
🥹
🥹
🥹
🥹

Vipi utaingia kuhakiki kwanza usalama ama utaanza
Na mshukiwa Namba moja.?
Usiombe ubananishwe mbavu na huyu nyoka, mwili wote ni misuli
Hivyo akishakuwahi huna namna.
 
Itakuwa heri kwani hutotumia bastola
yaani kakusaidia kumuua mkeo
 
Back
Top Bottom